Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sana
hii ndio pasua kichwa.nikitaka kujirushia 1000 kutola a.c kuja kwemy mobire money wanakata 1400.
 

Hata kwa wakala napo kuna maumivu
 
Benk za kikenya zote zenye branch hapa TZ hazina huo ujinga..kuanzia Equity na KCB bank..huwa ukiweka pesa unajikuta Kama Ilivyo..japo naona kwa sasa Kama Equity wanaanza kuleta huo ukumbafu wa kukata Makato.makubwa kwa transaction
 
Issue sio bank Gani ya kuhifadhi..tatizo ni akaunti Gani wafungua .? Mabenki karibu yote yana account maalum kwa ajili ya savings ..mfano Nbc Wana malengo account yaani unaweka hela zako bila Makato na KILA mwisho wa mwezi unapewa interest
Nitalifzatilia hilo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…