Kwanini mama tu ?

Msogora

Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
46
Reaction score
8
Habari wadau
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza swala hilo kwenye heading bila jawabu naishia kujaribu kulinganisha na watu wengine mfano Mchoraji wa picha anachora picha pengine kwa siku 3 tu kisha anaandika jina lake vile vile companies zinaandika majina yao kwenye bidhaa zao pengine zimechukua mwezi tu kutengenezwa.
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba?
 
Nadhani wamama wanayo majibu

Wee Msogora Hauna mama umuulize!!
 
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba yaani mmMsogora Daniel isiwe Msogora Jackline
Kama sisi tungeitwa bin hawa.bhas tungechukua ubin wa mama ila kwa kuwa tumeitwa bin adamu.bhas ndo maana tunafata ubin wa baba.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shule zimefungwa kazi IPO
 
Kama sisi tungeitwa bin hawa.bhas tungechukua ubin wa mama ila kwa kuwa tumeitwa bin adamu.bhas ndo maana tunafata ubin wa baba.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kwa nyinyi kwa sisi
 
Kwanini Mama miezi tisa ya ujazito kisha mtoto anaitwa kwa jina la baba yaani mmMsogora Daniel isiwe Msogora Jackline
Ni mazoea na utamaduni uliojengeka katika jamii yetu, Haikuzuii wewe ukiwa na mwanao usimwite danny beatrice.

Nchi za watu wengine mbona hivyo vitu vya kawaida tu.
 
Ni mazoea na utamaduni uliojengeka katika jamii yetu, Haikuzuii wewe ukiwa na mwanao usimwite danny beatrice.

Nchi za watu wengine mbona hivyo vitu vya kawaida tu.

Sawa naweza kubaliana na wewe
 
pia kwanin haujiulizi mama ndio anapendwa zaidi kuliko baba au watu weng kila jambo linapotokea wa kwanza kumtaja au kumkumbuka ni mama? then relate na vitu vingne.so i think kila kitu kina reason au nafasi yake ama mila au utaratibu.
 
Kweli rabda ni mila
 
Mtqngazaji fkani wa azam anaitwq Jeff Leah, so hata wewe unaweza kujiita hivyo haina shida
 
Hata mitume na manabii wa MUNGU ni wanaume ni namna gani mwanaume kapewa nafasi kubwa toka kwa muumba wa nchi na mbingu
 
Na jiulize kwanini wanawake zamani enzi za mitume walikuwa hawahesabiwi
 
Inategemea.. makabila mengine ni matrinia... mtoto ni wa mjomba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…