Kwanini mama tu ?

pia kwanin haujiulizi mama ndio anapendwa zaidi kuliko baba au watu weng kila jambo linapotokea wa kwanza kumtaja au kumkumbuka ni mama? then relate na vitu vingne.so i think kila kitu kina reason au nafasi yake ama mila au utaratibu.


 
Mabadiliko yanaanza na wewe tumia jina la mama ako dunia itakuiga..... Jiite msogola bitlisi au msogola anitha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…