Kwanini mama zetu ambao ni single mother hawataki tuoe single mothers?

Ni anakulinda.
Amekulea bila baba, anajua unaenda kutafuta mama mwingine badala ya mke na single mama atafit hiyo position haswa mwishowe unaharibikiwa.
 
Single mothers (sio wote) wengi n pasua vichwa.
Kama alizalishwa na mwanaume mwenye status kubwa zaid ya ww unaetaka kumuoa, airisha mchakato.
 
Kuna mke wa mtu anataka aombe talaka mimi nimuoe ana watoto.4 nafsi yangu inasita kabisaa
Hapo mjinga ni wewe unae entertain hata hayo maongezi. Unatembea na mke wa mtu unapitiliza, mpaka mnaanza kushawishiana upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…