Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Hello ndg zangu! Hongereni na poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Naenda kwenye maada moja kwa moja. Mamlaka ya mapato imekua ikija na mbinu mbali mbali za ukusanyaji wa kodi na kuhakikisha wakwepaji wa kodi wote wanafikishwa mahala husika ili waanze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wetu.
Kuna hii Biashara ya (b) Udangaji (b), Biashara mpya iliyoboreshwa jina kutoka kwenye Umalaya hadi Udangaji, nikama wameipa heshima fulani. Hawa watu wamekua hawachangii pato la serikali ila wanajikusanyia kipato kikubwa sana na Bahati mbaya, mfanya biashara ambaye kwa mwezi mzima labda unakusanya laki tano kmunatozwa kodi lakini huyu anayekusanya 3M Per month halipi kodi
Angalia huyo mtu analipwa laki moja kwa night, pesa ambayo hata madaktari Bingwa hawalipwi hivyo lakini hawalipi kodi hawa watu. Hapa serikali imepoteza 18,000/- mtu huyu angechangia hiyo kodi na wenzake wengi ambao wakitambuliwa kwa mfano 1000 serikali inakua imejikusanyia Milioni 18 fedha ambayo ingesaidia upatikanaji wa Dawa au hata ununuaji wa Madawati kwenye shule za misingi.
THIS IS VERY UNFAIR AISEE, WOTE TULIPE KODI.