HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Wape sadaka ya kujimalizaMengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk.
Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
Kwanza unajua maana ya utajiri? Utajiri ni nini? Pili unaupima utajiri kwa kigezo gani?Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk.
Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
Kauze madafu,mimi nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali manake nini?Kwanza unajua maana ya utajiri? Utajiri ni nini? Pili unaupima utajiri kwa kigezo gani?
Ulishaona wapi nchi ambayo wananchi wote ni matajiri?Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
Haya waombee robo wawe matajiri basi labda kwa akili yako unaona itawezekana!!Ulishaona wapi nchi ambayo wananchi wote ni matajiri?
Utajiri ni nini bosi? Wapi watu wameombewa wakapata huo utajiri mkuu?Haya waombee robo wawe matajiri basi labda kwa akili yako unaona itawezekana!!