Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Hapa tunaongelea dalili au matokeo ya tatizo na sio tatizo lenyewe la msingi
Jimama kama Winnie ana afya njema anakula ana shiba akae 25 years bila kugongwa itakuwaje.
Sisi kikwetu (waswahili) ikishatokea kadhia kama hiyo tunasema uhalali wa ndoa unaning'inia (Voidable)au unategemea stahmala ya mke yuko tayari kuvumilia 25 years au laa apewe talaka
Mandela angetoa talaka mapema isingekuwa painful kama hii iliyosababishwa na mchepuko
Kuna jamaa yetu last year amefungwa jela 10 years ametoka kuowa hana miaka 2 she is sooo cute only 19 years old
Msichana alivyoulizwa aka seek advice from elders akachukua talaka yake akasepa
 
Hakika ,dhahiri Nelson Mandela alijaa busara kubwa ,sio RAHISI kwa mwanaume kumweleza mwenzie aendelee KUTIMIZA matendo yake ya kimwili lakini iwe siri asifanye WAZI ktk jamii !!
 
Najaribu kuwaza Winnie angefungwa 27 Mandela angekitembeza kiasi gani huku njee
Am sure angeoa mpya na kuzaa kabisaa
Mbona hata Mandela.anasema hakuwa na shida Winnie kukitembeza isipokuwa kuendelea baada ya mumewe kutoka jela ndo lilikuwa baya zaidi.
 
waweza kulaani kwanini kuna uzee..daahhh mama alikuwa mzuri kiasi hicho!!?... na mandela hapo anaonekana very handsome""
 


Hii ndo tafsiri kamili ya hakuna mkamilifu hapa duniani cos Mandela alishindwa kumsamehe japo aliwasamehe wote
 
Pamoja na kukaa jela miaka 27 mzee aliharibiwa na wazungu samahani lakini jogoo hakuweza kupanda mtungi tena. Walimtesa wakitaka kujua nani anafadhili ANC
Kuoa mwanamke mzuri kuna gharama yake.
Mhhh!,ikiwa aliharibiwa na wazungu ina maana mke alioa alikuwa kama pambo tuu Ndani?
 
Nini miaka 27 Mkuu, mwezi tu watu wanahaha huku na kule utadhani wanataka kufa, "Nina genye za kufa mtu"

Nani anaeza kuishi miaka 27 bila kudinyana humu???
Penzi ni kikohozi ati,siri haipogi Kabsa na mazoea ni tabu.huezi ambiwa uachane na mtu uliyemzoea bin vuu kikaeleweka

Wapumzike kwa amani
 

Hapo kwenye red ndio point ya kwanin Mandela alishindwa kumsamehe Winnie,fulls top
 
Kuna jamaa yetu last year amefungwa jela 10 years ametoka kuowa hana miaka 2 she is sooo cute only 19 years old
Msichana alivyoulizwa aka seek advice from elders akachukua talaka yake akasepa
Nasikia mshikaji alikata rufaa katoka mwaka jana 2023.
Wamerudiana na mke wake.
 
Nini miaka 27 Mkuu, mwezi tu watu wanahaha huku na kule utadhani wanataka kufa, "Nina genye za kufa mtu"
Mbona mimi nipo Cape Town mwaka wa pilii huu unaenda na mke wangu nimeuacha Kibaha mailimoja.
Na anasema atanisubiri hadi nirudi
 
Inasemekana Mandela aliyetoka gerezani alikuwa wamchongo hivyo angerudiana na mke wa Mandela original angembamba na siri ya wa ngozi nyeupe ingebumburuka

Sijui lakini kama ni kweli ila yawezekana pia
 
Mikwara mbuzi hiyo.
Kwahiyo tangu uachwe 2017 hujawahi kutombwa hadi leo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…