Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

Magufuli miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa.
 
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Magufuli.
 
Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Magufuli anaipaisha Dodoma na kuipendezesha.
 
Habari zenu wanna jf, namshukuru mungu mm mzima....
Jibu la swali lako ni kuwa, kamusi NI kitabu kinachobeba maneno na kuyatolea maana(kidahizo/vidahizo) lengo kubwa la kuunda kamusi ni kuhifadhi maneno, tukumbuke kuwa kuhifadhi Jambo katika maandishi huweza kudumu kwa mda mrefu kuliko kulihifadhi kichwani,mfano maneno Kama ****,mboo mkundu ambayo yamo kwenye kamusi hutumika kwa maneno mbadala (tafsida) mfano: mboo----- uume, ****---- uke ni hayo tu hebu tusubiri wajuzi zaid
 
Kuna mantiki gani ya kuhifadhi maneno ambayo hauwezi kuyatamka mbele za watu? Kwanini neno kama kum* lisiandikwe uuke katika kamusi? Au kwanini neno mbo* lisiandike kama uume kuliko kuhifadhi maneno yasiyotamkika?...
 
Wrong
 
Kamusi inapaswa kua na maneno yote bila kubagua...
 
Mimi nimeuliza swali badala ya wewe kunijibu, wewe pia unaniuliza swali? Watanzania tunashida kubwa sana kwa kweli
Kuna aina tatu za kujibu swali
1.Swali kwa Jibu
2. Swali kwa amelezo
3. Swali kwa swali.

Yeye katumia aina ya tatu ya kujibu swali. YAANI SWALI KWA SWALI.
 
Maneno yote yapo, ila jamii inahofia kutumia maneno hayo kwa sababu ya aibu, au kutumia maneno ya mbadala
Kwanini hayo maneno mbadala yasirasimishwe na kuchukua nafasi ya yale yenye ukakasi?
 
Kwanini hayo maneno mbadala yasirasimishwe na kuchukua nafasi ya yale yenye ukakasi?
Maneno hayo hayawezi kuondolewa katika kamusi kwa sababu zifuatazo,
1. ndio maneno msingi au mama wa maneno mapya yanayozaliwa leo hii
2. maneno hayo msingi hatuyatumii kwa kuwa tumekuta jamii tunayoishi nayo haitumii maneno hayo ingawa kwenye kamusi yapo. Hii ina maana kuwa tumerithishwa ulemavu na vizazi vilivyopita.
mfano, neno mboo tunaita uume nk
3.
uibukaji wa waandishi mashuhuri na wabobezi katika fasihi umepelekea maneno hayo yaliyo na ukakasi kuwekwa kando na kutumia maneno mbadala ili kulinda hadhi ya tabaka la juu dhidi ya tabaka la chini
 
Uongo huu mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…