Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
 
Usalama wa taifa ni watu wa kawaida tu. Hawana jambo lolote special na la kuogofya. They aren't just immortal like anybody else.

Tofauti pekee iliyopo na ambayo ni kama inawafanya waogopwe ni:

1. Siri ya Kazi zao.

- Hata Ku Klu Klux, Illuminati, Freemasons na secret societies nyingine wanatumia mbinu hii.

2. Wako Juu ya Sheria.

Anaweza kukufanya chochote, wakati wowote na usimpeleke popote.

Otherwise hakuna jipya lolote.
 
Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Hao ni wa kibongo bongo "mkuu na wanaweza kuwa wanavuta bangi kutokana na sababu ya msukumo wa kazi wanayo ifanya katika wakati huo )

lakini wale ambao wanatoka kwenye taasisi nyeti haswa kama FSB CIA ISIS M16 etc " aisee ni extraordinary

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
Nani asiehatarisha maisha kwaajili ya usalama nakati jukumu la ulinzi na usalama ni la kila raia? Na mbaya zaid wao wanalipwa kwa jukumu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
Sihitaji kubisha maana sifahamu, hivyo naomba nijifunze kutoka kwako kwa sababu umesema unao ushahidi;

Je, wanapoajiriwa katika mashirika ya nchi nyingine wanafanya kazi wakiwa katika nchi zao au wanahamia katika hizo nchi?

Je, wanaoajiriwa, serikali zao inatambua au wanafanya kificho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
Wanakesha kwa kwa ajili ya ajira zao ,askuambie MTU kuna MTU ana kesha kwa ajili ya MTU,ni kwa ajili ya ajira zao tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
kwani hii kazi wanafanya bure, daktari mara ngapi anafanya kuhatarisha maisha yake kwa magojwa ya kuambukizwa kwa usalama wa wananchi

wangekuwa wanafanyia bure, wangekuwa wameacha kazi zao tungewaona wa maana tofauti na hapo wanabaki waganga njaa kama sisi tu
 
Back
Top Bottom