Anaweza kukufanya chochote, wakati wowote na usimpeleke popote.
Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.Chief, unasemaje hawana jipya na hapa kwangu mimi hili ni jipya?! Kwamba ni " immortals + wako juu ya Sheria"?! Hapohapo ni binaadam kama Mimi na wewe tu sio?
Sijaelewa.
Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Hao ni wa kibongo bongo "mkuu na wanaweza kuwa wanavuta bangi kutokana na sababu ya msukumo wa kazi wanayo ifanya katika wakati huo )Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Usalama wangu upi ?Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
Nani asiehatarisha maisha kwaajili ya usalama nakati jukumu la ulinzi na usalama ni la kila raia? Na mbaya zaid wao wanalipwa kwa jukumu hilo.Usiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Hakika.Na hawa (kwenye bold chief) ndio unasema wanaweza kunifanya chochote wakati wowote na sheria isiwaguse?! Hapohapo Tanzania!?
Sure 100%Chief, are you 100% sure??
Kuna experiment nataka nifanye!
Kuvuta bangi ni kilaza?Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Kuvuta bange mpaka unanukisha gari zima ni kukosa kiasi.
Sihitaji kubisha maana sifahamu, hivyo naomba nijifunze kutoka kwako kwa sababu umesema unao ushahidi;Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
Wanakesha kwa kwa ajili ya ajira zao ,askuambie MTU kuna MTU ana kesha kwa ajili ya MTU,ni kwa ajili ya ajira zao tuuUsiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
kwani hii kazi wanafanya bure, daktari mara ngapi anafanya kuhatarisha maisha yake kwa magojwa ya kuambukizwa kwa usalama wa wananchiUsiwavunjie heshima wakati wanahatarisha maisha yao kwa usalama wa taifa lako na wewe mwenyewe. Hujui tu wakati wewe unapost upuuzi wao wanakesha ili uwe salama?
Mkuu kwenye bangi hapo umeenda mbali sana kwani bangi inatatizo gani,tuachie mmea wetu hauna tatizoNamaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.