Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Anahujumiwa na wenzake ndani ya chama chake mwenyewe?
Maandalizi yalikua mabovu?
Hajulikani na hakubaliki kisiasa kwao Singida?
CHADEMA haina wafuasi na wanachama wengi Singida?
Au unadhani tatizo ni nini hasa kitaalamu, mpaka mbunge wa viti maalumu tu, awe na uwezo na ushawishi mkubwa kiasi cha kuvutia na kukusanya watu wengi zaidi ya mwenyekiti wa chadema taifa, tena kwenye mapokezi ya nyumbani kwao? Shida iko wapi? Una ushauri gani kama mdau kuhusu jambo hilo?
Mungu Ibariki Tanzania