Wek vidoAnahujumiwa na wenzake ndani ya chama chake mwenyewe?
Maandalizi yalikua mabovu?
Hajulikani na hakubaliki kisiasa kwao Singida?
Chadema haina wafuasi na wanachama wengi Singida?
au unadhani tatizo ni nini hasa kitaalamu, mpaka mbunge wa viti maalumu tu, awe na uwezo na ushawishi mkubwa kiasi cha kuvutia na kukusanya watu wengi zaidi ya mwenyekiti wa chadema taifa, tena kwenye mapokezi ya nyumbani kwao? Shida iko wapi? Una ushari gani kama mdau kuhusu jambo hilo?
Mungu Ibariki Tanzania
Watu wamempuuza yeye na michango na yeye hana jipya!Anahujumiwa na wenzake ndani ya chama chake mwenyewe?
Maandalizi yalikua mabovu?
Hajulikani na hakubaliki kisiasa kwao Singida?
CHADEMA haina wafuasi na wanachama wengi Singida?
Au unadhani tatizo ni nini hasa kitaalamu, mpaka mbunge wa viti maalumu tu, awe na uwezo na ushawishi mkubwa kiasi cha kuvutia na kukusanya watu wengi zaidi ya mwenyekiti wa chadema taifa, tena kwenye mapokezi ya nyumbani kwao? Shida iko wapi? Una ushari gani kama mdau kuhusu jambo hilo?
Mungu Ibariki Tanzania
wengi wanadai anawaaibisha kama mkoa kwa tabia yake mbaya ya kuomba omba kuchangiwa pesa hali ya kua ana afya, nguvu na akili ya kufanya kazi na kujitegemea kiuchumiWana singida wanaona kuwa hana msaada zaidi ya kupigania maslahi yake binafsi.kama ambavyo alikuwa anataka gari la kifahari ambapo mpaka sasa haieleweki pesa alizochangiwa kapeleka wapi.