Kwanini Maprofessor ni wachache,kwanini wasipandishwe wenye PHD ambao ni wengi na wana sifa?

Kwanini Maprofessor ni wachache,kwanini wasipandishwe wenye PHD ambao ni wengi na wana sifa?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Maprofessor hupatikana baada ya msomi kuwa na shahada ya kwanza,ya pili na uzanifu,pia huteuliwa na bodi ya maprofessor kuwa professor baada ya kuandika marejeo kadhaa

Ila kuna uhaba wa maprofessor ktk vyuo vingi nchini na kupelekea wanachuo kufundishwa na wenye shahada ya pili pekee

Wakati wapo wenye shahada ya udaktari wengi tu tena wa Siku nyingi na vitabu au marejeo yao yanatumika vyuoni kwa mda mrefu ila hawapandishwi daraja kuwa maprofessor mfano Dr.Kadeghe,Dr.Ayoub Ryoba,Dr.Mauki,Dr.Rehema Nchimbi na wengineo.

Kwanini hatuwapi uprofessor angali wakiwa wadogo ili wafanye maandiko mengi zaidi kama wenzetu wa nchi zilizoendelea ambao maprofessor huwa wadogo tu miaka thelathini na au arobaini na,

Ila pongezi kwa Serikali kwa kuwajali maprofessor, kwani huwapa uchaguzi wa kuchagua zawadi mbalimbali kila mwaka Mara moja ,zawadi kama jokofu au sofa seti na kuwapa kumbukumbuku ya kusaini kitabu maalumu ktk maonesho ya kimataifa ya sabasaba na keep kuhudhulia Bure kila mwaka yafanyikapo.
 
Mkuu kuna marshariti ya kumiza ili upande kutoka hatua moja kwenda nyingine. Hakuna mkato, na hapa ndio utata wa appointment za serikali unapoingia kwani si rahisi kwa vyuo kupata wengine wa kuchukua nafasi zao kwa muda mfupi. Na kwa sasa kuna maeneo hata kupata Tutorial Assistant inakuwa kazi pia.
 
Back
Top Bottom