Kwanini Marais wa Jamhuri ya Muungano ndio wanaanzisha Taasisi?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Wakuu,

Najiuliza ni kwanini Marais wa Zanzibar wote waliopita kwenye safu ya urais hakuna hata mmoja ambaye ameanzishiwa taasisi yake kama zilivyo taasisi za Marais wa JMT mfano Nyerere Foundation, Mkapa Foundation na Kikwete Foundation, huenda tunatazamia Magufuli Foundation pia.
 
Zanzibar ni watu wa kutopenda mambo makubwa.

Wao pesa za Oman zinawatosha sana. Wakipata na Mgao wa huku Bara mambo ni byeee kabisa.
 
Wakuu,

Najiuliza ni kwanini Marais wa Zanzibar wote waliopita kwenye safu ya urais hakuna hata mmoja ambaye ameanzishiwa taasisi yake kama zilivyo taasisi za Marais wa JMT mfano Nyerere Foundation, Mkapa Foundation na Kikwete Foundation, huenda tunatazamia Magufuli Foundation pia.
Sasa Salmin Amour atanzisha taasisi gani? Itakuwa na heshima gani? Labda Amani Karume...Shein🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom