Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Zanzibar ni watu wa kutopenda mambo makubwa.Wakuu,
Najiuliza ni kwanini Marais wa Zanzibar wote waliopita kwenye safu ya urais hakuna hata mmoja ambaye ameanzishiwa taasisi yake kama zilivyo taasisi za Marais wa JMT mfano Nyerere Foundation, Mkapa Foundation na Kikwete Foundation, huenda tunatazamia Magufuli Foundation pia.
Sasa Salmin Amour atanzisha taasisi gani? Itakuwa na heshima gani? Labda Amani Karume...Shein🤣🤣🤣Wakuu,