GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 15, 2024 #1 Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Aug 15, 2024 #2 Nchiya kijinga subiri kitabu cha samia akitubu makosa yake kama kuuza ngorongoro, bandari uditekta kabla ajafa maana ndio wanatubu kupitia vitabu
Nchiya kijinga subiri kitabu cha samia akitubu makosa yake kama kuuza ngorongoro, bandari uditekta kabla ajafa maana ndio wanatubu kupitia vitabu
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,301 Reaction score 1,579 Aug 15, 2024 #3 Lakini kwa yaliyotokea Mbeya ulifurahia na kuna uzi wako humu uliandika kufurahia hilo.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 15, 2024 Thread starter #4 pangalashaba said: Lakini kwa yaliyotokea Mbeya ulifurahia na kuna uzi wako humu uliandika kufurahia hilo. Click to expand... Kumbe nafuatiliwa na nasomwa na wengi?
pangalashaba said: Lakini kwa yaliyotokea Mbeya ulifurahia na kuna uzi wako humu uliandika kufurahia hilo. Click to expand... Kumbe nafuatiliwa na nasomwa na wengi?