The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
ushaambiwa partnership. hata vyombo vya ulinzi huwa na partnership na taasisi za ulinzi za nje, ndio maana kunaaskari wanaoenda nje kusoma, wengine wa nje wanakuja nchini, ni mambo yao wanajua, ushirikiano.Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya?
Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani inakuja kukamata bangi, kwa nini Marekani isishauri serikalini kuruhusu bangi kama walivyofanya wao kule kwao?
Marekani wanasema mwaka jana walifungua tawi la jeshi la kupambana na madawa ya kulevya Tanzania.
Kwao wanaruhusu bangi kwa ajili ya matibabu.Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya?
Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani inakuja kukamata bangi, kwa nini Marekani isishauri serikalini kuruhusu bangi kama walivyofanya wao kule kwao?
Marekani wanasema mwaka jana walifungua tawi la jeshi la kupambana na madawa ya kulevya Tanzania.
Nadhani Sababu kuu walifungua kwa ajili ya kupambana na yale madawa ya kulevya yenye mtandao wa kimataifa kama cocaine na heroine, ila kwa Sababu Bangi pia Ni madawa ya kulevya hawawezi kubaguaNi kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya?
Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani inakuja kukamata bangi, kwa nini Marekani isishauri serikalini kuruhusu bangi kama walivyofanya wao kule kwao?
Marekani wanasema mwaka jana walifungua tawi la jeshi la kupambana na madawa ya kulevya Tanzania.
Ni wabongo mainly, wazungu wanaotoa msaada wa intelligence, Halafu sio kwa ajili ya hizo Bangi za geto,Niulize.
Askari wanaotumika katika operation kama hii ni wazungu, ama ni askari wa kibongo?.
Najaribu kuimajeni mzungu kuja gehto kwangu kukamata bhangi!!
Uko sahihi kabisa, lengo la huu ushirikiano ni kuvijengea uwezo taasis zetu ikiwemo kutoa mafunzo, uzoefu na vifaa vya kisasa vinavyohitajika kukabiliana na hii biashara.Nafikiri lengo ni kuongeza uwezo...