Uchaguzi 2020 Kwanini Marekani, Umoja wa Ulaya wanamuunga mkono Tundu Lissu? Kosa la Magufuli ni lipi?

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
 
Mishale inatoka kila kona!
1601623583_1601623583-picsay.jpg
 
Acha kukuza mambo kuliko uhalisia, kama USA ingemuunga mkono tundu wasingehitaji kujificha popote, hata ungeshamuona kwenye mainstream media zao kama CNN &Co. akihojiwa na kupewa airtime, ni lini ulimuona tundu akipewa airtime na cnn au hata al jazeera tu?
Niwekee article moja hapa ya mainstream media ya USA ikimuongelea tundu lisu, ...
 
Kusema kuwa demokrasia ipo chini haimaanishi wanamuunga mkono Lissu na kumkataa Dr. Wanachomaanisha ni kuwa pawe na uwanja sawa wa kuombea kura, na wananchi wenyewe wachague wanayemtaka.
Uwanja upi haupo sawa mkuu

Kwani lissu hajaruhusiwa kufanya siasa

Mbona si lipumba au Membe?
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC

Mwanzoni ktk paragraph yako kwanza umezungumzia uminywaji wa haki za binaadamu . Je ni kweli au si kweli ?! . Na kama ni kweli nani wa kusaidia tatizo hilo ?

Je kuna uwanja sawa wa kufanya campaign ?!
 
Acha kukuza mambo kuliko uhalisia, kama USA ingemuunga mkono tundu wasingehitaji kujificha popote, hata ungeshamuona kwenye mainstream media zao kama CNN &Co. akihojiwa na kupewa airtime, ni lini ulimuona tundu akipewa airtime na cnn au hata al jazeera tu?
Niwekee article moja hapa ya mainstream media ya USA ikimuongelea tundu lisu, ...
Hahahaa ivi Magu akipewa airtime na CNN au Foxnews atatumia lugha gani kujibu maswali wakati hata mdahalo wa ndani na Lissu anaugopa kama ukoma?
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
kwenye uchaguzi hata bila NEC huru Magufuli anaweza asichomoke.

mwanzoni nilikuwa siamini but sasa hivi ninaanza kuuona uwezekano wa Lissu kuingia Magogoni October.
na Lissu anatamka kwa kujiamini kabisa "uchaguzi huu tumeshinda!".
 
Acha kukuza mambo kuliko uhalisia, kama USA ingemuunga mkono tundu wasingehitaji kujificha popote, hata ungeshamuona kwenye mainstream media zao kama CNN &Co. akihojiwa na kupewa airtime, ni lini ulimuona tundu akipewa airtime na cnn au hata al jazeera tu?
Niwekee article moja hapa ya mainstream media ya USA ikimuongelea tundu lisu, ...
Kuna ukandamizwaji gani wa haki za binadamu Tanzania?

Hapa Tanzania kila kitu kipo sawa,Haya matamko na Resolution wanazotoa wazungu kwa maslahi ya nani?

Kuna mambo yanafikirisha zaidi kwa hawa wazungu

Leo hii Zimbabwe wanarudisha mashamba kwa wazungu tena,Kitu ambacho Mugabe alikikataa leo wanarudisha ardhi kwa mabeberu kwa kushindwa kupumua kwa vikwazo

Akina kabudi waliomba zimbabwe itolewe vikwazo imeshindikana sasa wameamua yaishe wawape ardhi
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongeza wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongeza wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Hahaha
Mkuu una Maana IGP Sirro anatumika na Ma Beberu kumuita Lissu Polisi ili Ma Beberu wapate Sababu ?
 
Kuna ukandamizwaji gani wa haki za binadamu Tanzania?

Hapa Tanzania kila kitu kipo sawa,Haya matamko na Resolution wanazotoa wazungu kwa maslahi ya nani?

Kuna mambo yanafikirisha zaidi kwa hawa wazungu

Leo hii Zimbabwe wanarudisha mashamba kwa wazungu tena,Kitu ambacho Mugabe alikikataa leo wanarudisha ardhi kwa mabeberu kwa kushindwa kupumua kwa vikwazo

Akina kabudi waliomba zimbabwe itolewe vikwazo imeshindikana sasa wameamua yaishe wawape ardhi

Hizo statements USA hutoa Dunia nzima kwenye uchaguzi na hazisemi chochote, kama kweli USA wanamuunga mkono mgombea xyz huwa hawafichi, na utamuona huyo mgombea kila siku kwenye media zao, tundu hata dw kiswahili au voa wamempotezea halafu mnasema USA inamuunga mkono?
 
Kusema kuwa demokrasia ipo chini haimaanishi wanamuunga mkono Lissu na kumkataa Dr. Wanachomaanisha ni kuwa pawe na uwanja sawa wa kuombea kura, na wananchi wenyewe wachague wanayemtaka.
Wao yanawahusu nini?
Sisi yakwao tunawaingilia?
 
Uwanja upi haupo sawa mkuu

Kwani lissu hajaruhusiwa kufanya siasa

Mbona si lipumba au Membe?
Matumizi ya taasisi na vyombo vya kusimamia uchaguzi ni sawa ?!
-Tume
-Vyombo vya habari
-Vyombo vya dola na vya maamuzi

Kuhusu ni kwanini yeye nasi wengine. Kwa Ccm na serikali yake wanaangalia mgombea anaetishia uhai wao. 1995 Mrema alipata msukosuko. 2000 Lipumba mpaka alivunjwa mkono. 2010 Slaa alivunjwa mkono na misukosuko ya kutisha. 2015 Lowasa aliumizwa mpaka imebidi ajisalimishe. Na sasa Lissu ndiyo kwa amenusurika kifo na sinema inaendelea
 
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Pale airport alikuwa anatoka kwenye matibabu ya risasi za watu wasiojulikana na hawatajulikana.

Ulitarajia polisi wanaojulikana na wasiojulikana wamsumbue kwa lipi.

Sasa maadam mnajua hayo tendeni haki hskuna atakayesumbuka na nyinyi.
 
Hizo statements USA hutoa Dunia nzima kwenye uchaguzi na hazisemi chochote, kama kweli USA wanamuunga mkono mgombea xyz huwa hawafichi, na utamuona huyo mgombea kila siku kwenye media zao, tundu hata dw kiswahili au voa wamempotezea halafu mnasema USA inamuunga mkono?
Kwa hiyo Kikwete alikuwa na urafiki na mabeberu au?

Lini wakati wa Kikwete mabeberu walimsema vibaya au kutoa tamko

Zaidi Obama na Kikwete kupasiana pasi za mpira wakiita Power Africa
 
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea

Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga serikali na vyombo vya ulinzi na usalama

Mbinu hizi lazima tutazikwepa tu,
Mtego wao wa kwanza walilenga lissu asumbuliwe pale airport halafu wangetupiga vikwazo vya hakuna kuuza wala kuagiza vifaa tiba toka ulaya hivyo madawa yangekosekana mahosipitali na watu kufa ,Tukawashinda

Sasa Lissu anaitwa polisi na IGP ili wapate sababu lissu akishindwa waseme polisi Tanzania wametumika kuharibu uchaguzi hivyo IGP sirro na Kundi lake watafutwe na kufunguliwa mashtaka ya jinai huko ICC ,Afande Sirro ni Mzoefu wa medani najua huu mtego ataukwepa vizuri sana na hata barua imeandikwa kuelekea kwa Chama cha chadema na Sio Tundu lissu kama mgombea ,
Tundu lissu analazimisha barua zielekezwe kwake ili baadae ageuke kuwa Polisi na Nec wanafanya Personal attack kuharibu uchaguzi

Hawa mabeberu ni dhahiri wana maslahi na Lissu zaidi kuliko JPM kwanini?

Ndege za Bombadier na Boeing tumenunua kwao kwa cash hawakutupongeza wala kutusifia

Wawekezaji kwenye madini ni ndugu zao toka huko hawatupongezi wala kutusifia

Pesa zao tunazitumia vizuri na tumejenga miundombinu na kubandika mabango yao ya USAID au JAICA hawatupongezi wala kutusifia

Kuna mambo yanajificha nyuma ya pazia ni kama hawa watu wanasubiri sababu ya kutuwekea vikwazo tu

Hawa wazungu walipanga kutuwekea vikwazo ila sasa sababu wanaitafuta kupitia uchaguzi huu wa sasa

Wazungu wakishajua huna tekinolojia au utaalamu vikwazo ndio adhabu yao kwani wanajua hutamaliza miezi mitatu bila maisha kuanza kubadilika kwenye vifaa tiba na vipuli vya machine

Kwa umoja wetu tutashinda na JPM ni chaguo la kweli

Ile nguvu ya Lissu na maelfu ya wale wafuasi wake kuna jambo nyuma ya pazia

Nasikia wanauwezo wa kuwapa taarifa wafuasi wao wote kwa wakati mmoja huku wanatudanganya wanatumia whatssapp

Whatasapp gani ya kufanya watu wajaze viwanja vyenu kama vile kule marangu,Tunduma na kote mlikopita
Kwani unataka wakuunge mkono ili iweje chief. Acha kihelehele na wazungu utaishia kuwa mtumwa wao
 
Umoja wenu na NEC, polisi na msajili wa vyama... CHADEMA kwa upande mwingine ina wananchi.

Ni lini uliwahi kuwasikia wanaunga mkono ccm?
 
Back
Top Bottom