Kwanini Masai hawarogani wala kuibiana wao kwa wao tofauti na makabila mengine?

Kuna chimbo nilikutana na Mmasai mmoja, katika stori akawa ananipa Connection za Waganga na Wachawi Tanzania nzima. Jamaa Wanaroga ni balaa. Ila wanarogana wao kwa wao.
 
Kaa na masai piga nao story wakufungukie utagundua kuwa hawana tofauti yoyote na waafrika wengine uchawi kama kawaida na wana roho za kimafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…