Kwanini maseneta wengi wanataka ugavana Kenya

Kwanini maseneta wengi wanataka ugavana Kenya

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Katika uchaguzi ujao kuna dalili ya maseneta wengi wanapendelea kuwa magavana.
Inasemekana kuna ufisadi mkubwa umefanywa na magavana wanaomaliza muda wao. Je hawa wanaotaka ugavana nao wanataka wakapige chapa pindi watakapochaguliwa ?
Ukichunguza uchaguzi wa 2017 wagombea ugavana wanatumia gharama kubwa sana.
 
Back
Top Bottom