[emoji23][emoji23][emoji23]sisi mashabiki wa KiNG'S tuliwaandikia barua uongozi wa WCB kuwaomba hao watoto ili tuwa-bust ila sasa wao wakatukatalia.
sasa ona kilichowatokea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba sipendi kutagiwa kwenye vitu vya kipuuzi ebu we mdingi jitambue ili usiniuzi Sana nitakuweka kwenye ignore list maana siwengine matusi atujayazoea.Mleta mada innocent dependent anakutukana kimoyo-moyo.
Huu tunaita umbea kwa mwanaume, ila kwa mdada ni haki yake.
Mwanzo mgumu tupo busy na corona saivi
Katika baadhi ya hoja yako kuna kitu umekiweka kinaitwa "Anomali" au "Upotoo" kwamba maelezo yako yanagombana yenyewe. Unasema hujawahi kusikiliza wimbo hata mmoja wa Zuchu halafu baadae ukasema ni mshabiki unayeangalia muziki mzuri.Mtoa mada kuna vitu unachanganya.
Kuna mashabiki (waliokumywa maji ya bendera) wa WCB, wa washabiki wa msanii mmoja mmoja, na mashabiki wa Diamond.
Mimi kama mshabiki wa Diamond, sinawahi sikiliza ata wimbo mmoja wa Zuchu, na wala sijawahi penda nyimbo za Lavalava kidoogo Mboso na Rayvanny.
Sasa nione Zuchu katoa wimbo nianze tu kumaliza MB zangu?
Diamond ana fan-base yake, na hao wengine kila mmoja anayoyake sema kua WCB kunawasaidia kidoogo baadhi ya mashabiki wafuata upepo wanawashabikia.
Wengine tunaangalia muziki mkali, ata Diamond huoni baadhi ya nyimbo zake zinakua na views chache? Inamaana wengi tulivozicheki once hatutaki ata kureplay.
Views nyingi za YouTube ni kwamba watu wengi wamerudia rudia, ingekua ni mtu individual mbona kufikisha Million tu ingeku msamihati.
Samahani kwa kukubadilisha jinsia dah, hii ni haki yako kusemaNi nani aliyekwambia huyu ni mwanamme.?
Mtake radhi.