Kwanini Mashabiki wa Yanga SC leo wamechukia sana kuwaona Simba SC wakienda Kuweka Kambi Visiwani Zanzibar na Kuwatukana mno Bandarini?

Kwanini Mashabiki wa Yanga SC leo wamechukia sana kuwaona Simba SC wakienda Kuweka Kambi Visiwani Zanzibar na Kuwatukana mno Bandarini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar?

Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi na bado wapo CAFCL kwa Kufuzu Nusu Fainali kwa Kumfunga Mamelodi Sundowns FC kwa Magoli mazuri ya Ushindi yaliyofungwa na Wachezaji wake tegemeo Ibrahim Baka na Dickson Job?
 
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi na bado wapo CAFCL kwa Kufuzu Nusu Fainali kwa Kumfunga Mamelodi Sundowns FC kwa Magoli mazuri ya Ushindi yaliyofungwa na Wachezaji wake tegemeo Ibrahim Baka na Dickson Job?
Matambiko yanaendelea huko visiwani
 
umesikia viongozi wako wa simba wanawapigia simu wachezaji wa yanga eti wacheze chini ya kiwango?
 
Kichwa cha habari ilitakiwa kiwe "Kwanini mashabiki wa Simba wameanza kuchanganyikiwa?"
 
Back
Top Bottom