GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Matambiko yanaendelea huko visiwaniKwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi na bado wapo CAFCL kwa Kufuzu Nusu Fainali kwa Kumfunga Mamelodi Sundowns FC kwa Magoli mazuri ya Ushindi yaliyofungwa na Wachezaji wake tegemeo Ibrahim Baka na Dickson Job?
umesikia viongozi wako wa simba wanawapigia simu wachezaji wa yanga eti wacheze chini ya kiwango?Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi na bado wapo CAFCL kwa Kufuzu Nusu Fainali kwa Kumfunga Mamelodi Sundowns FC kwa Magoli mazuri ya Ushindi yaliyofungwa na Wachezaji wake tegemeo Ibrahim Baka na Dickson Job?