Wale majamaa wa fursa si waliwaambia munaweza kupata mkopo,au sasa wamekimbia.Ikumbukwe kuwa benki/taasisi za fedha zina masharti kabla hawajakupatia mkopo,kuwa na shamba LA miti pekee si kigezo cha wao kukuamini.Je wakikupa fedha watapataje rejesho lao LA kila mwezi?au mpaka uvune mbao zako?Hivyo lazima tutambue kuwa uwekezaji wa miti ni lazima uendane na kujituma kwenye shughuli zingine za kukuingizia kipato ili uweze kujihudumia wewe pamoja na shamba.