Halafu hujui kwa nini hyo fomula1 inaitwa langalangaNaona Mercedes na Lewis Hamilton hapo dahh yaani mimi na F1 dam dam
Halafu hujui kwa nini hyo fomula1 inaitwa langalanga
Kwahio hilo jina wamebatizwa na Wakongo au? Na kwanini iwe specific kwa formula 1?Kule DRC kuna band ya muziki wa Soukous ikiitwa "Zaiko langalanga" then "Langalanga stars"
Langalanga ni neno la kilingala likimaanisha Marvelous.
Mpaka hapo nadhani unaweza kuchanganya na za kwako ukajibu maswali yako.
BBC ndio walileta huo msamiati, unatokana na sauti ya hizo gari hasa kipindi hicho dereva wa kijerumani Michael Schumechel akikimbiza mercedes benz mpaka inalia "lang lang lang" ndio wakaita langa langa.Wakuu,
Naomba mnijuze ni Kwanini mashindano ya mbio za magari ya Formula one huwa yanaitwa ''Langalanga''
Hili neno langalanga ni la Lugha gani au linahusiana vipi na hayo mashindano?
Asante.View attachment 1523124
Asante,kumbe ndio ilikotokea,sasa kwanini neno Langalanga litumike kwa F1 pekee na sio mbio zingine?BBC ndio walileta huo msamiati, unatokana na sauti ya hizo gari hasa kipindi hicho dereva wa kijerumani Michael Schumechel akikimbiza mercedes benz mpaka inalia "lang lang lang" ndio wakaita langa langa.
Nimepitia sources kadhaa nikajaribu kuunganisha dots.Kwahio hilo jina wamebatizwa na Wakongo au? Na kwanini iwe specific kwa formula 1?
Kuna formula 1 mpaka formula 5 .Asante,kumbe ndio ilikotokea,sasa kwanini neno Langalanga litumike kwa F1 pekee na sio mbio zingine?
Asante,nimepata mawazo mawili tofautiNimepitia sources kadhaa nikajaribu kuunganisha dots.
Idhaa za kiswahili (BBC,VOA,DW) hasa watangazaji wakenya wanaweza kuwa chanzo Cha F1 kuitwa Langalanga.
WHY: Kule Kenya kuna mashindano yakiitwa Langalanga toka 1950s yakihusisha pikipiki (nadhani na magari) likely yalianzia kwenye baiskeli in 1954.
Na neno "Langalanga" kimasai lina maanisha kuzunguka (round and round)
BTW:Hilo neno linatumika na wachambuzi na media za huku tu.
Asante kwa ufafanuziKuna formula 1 mpaka formula 5 .
Aina ya mashindano ya formula 1 ni hiyo tu na inazunguka miji tofauti duniani, na ina njia maalum.
Ni kama useme kwanini kombe la dunia la soa liwe moja tu, labda na AFCON iitwe world cup, hapana haiwezekani.
Ni kama ligi daraja la kwanza mpaka la nne.
Mbio nyingine zipo za Paris -Dakar , na Boston Trails!