Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mashindano ya Olimpiki na yale ya dunia hujumuisha michezo mbalimbali kama vile soka, riadha na kadhalika. Katika michezo yote hiyo, mashindano ya kupiga na kucheza ngoma hayajumuishwi. Kwanini? Tafadhali mwenye uelewa juu ya masuala haya atufafanulie tusioelewa.
Karibuni waungwana
Karibuni waungwana