Kwanini mashindano ya ngoma hayajumuishwi kwenye Olimpiki au Mashindano ya dunia?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Mashindano ya Olimpiki na yale ya dunia hujumuisha michezo mbalimbali kama vile soka, riadha na kadhalika. Katika michezo yote hiyo, mashindano ya kupiga na kucheza ngoma hayajumuishwi. Kwanini? Tafadhali mwenye uelewa juu ya masuala haya atufafanulie tusioelewa.

Karibuni waungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…