HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo wataongezeka zaidi.
Pia bado TRA wanaweza kuwakopesha wafanyabiasha mashine hizo na kuwakata taratibu kwa kuunganisha kodi na gharama za mashine hiyo kila wanapolipa kodi kwa awamu nne
Wafanyabiashara wengi tunashindwa kununua mashine za EFD kwani ni ghari sana na kuinunua cash kunaathiri biashara zetu.
Nawasilisha.
Pia soma: Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?