Wandugu kwanini hawa jamaa hawawekezi kwenye kuzalisha umeme, nchi yetu inamabwawa 6 tu ambayo hayafiki 600MW za uzalishaji.
Inasemekana Tanzania inaweza hadi kuzalisha megawatt 10,000 kutokana na umeme. Hawa jamaa wangewekeza huku si wangepiga pesa? pia wangekuwa na miradi ya uhakika.
Najua gharama siyo tatizo. Bwawa mpaka linakamilika mwaka 2000 liligharimu USD 36M na linazalisha 180MW. hata gharama zitakuwa mara kumi bado hawa jamaa wanaweza. Kwanini wanawekeza kwenye majengo tu na si kwenye umeme.