Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa
Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu.
Basi hata wawaige kidogo wasauzi. Hii ni aibu.
Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu.
Basi hata wawaige kidogo wasauzi. Hii ni aibu.