Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Mar 2, 2024 #1 Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu. Basi hata wawaige kidogo wasauzi. Hii ni aibu.
Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu. Basi hata wawaige kidogo wasauzi. Hii ni aibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 4, 2024 #2 Duh aiseee