Hello guys,
Nimefanya observation kwa mastaa wengi wa kike hapa Tanzania kama vile Jokate, Lulu, Wema, Wolper, Kajala n.k.
Wengi wao ni warembo na kwenye mvuto haswa lakini pamoja na umaarufu walionao, inakuaje wanakosa wanaume wa kutangaza ndoa/kuwaoa? Wengi wamefikisha miaka 30+ na hawako kwenye mahusiano ya maana they jump from this man to that man.
Sababu ni ipi?