Kwanini matajiri wanaoishi maisha simple (kuvaa, kuzungumza, kimuonekano, n.k) wanaheshimika zaidi kwenye jamii ?

Wanatuheshimu kwasababu huwa tunawapa vichenchi vya hapa na pale.

ASANTE.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
Hawaheshimiki, ndivyo jamii inavyotaka hivyo...
 
S
Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
Rahisi tu hajaruhusu uwezo wa kifedha ubadilishe tabia/muonekano. Super!!
 
Back
Top Bottom