Kwanini matangazo mengi ya radio yanabeza makabila haya?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Wachaga,wapemba,wadigo,wamasai

Mgosi:Habari yakho mamushiii?
Mamushi:Nzuri tu mgosi
Mgosi:We um-beba khapuu la matunda mie nzani dondokaaaa,njoo nkupeee bhukuuuu

Mmasai:
Hatiendi kunywa pwombwe leo?

Kwanini wasiweke watu wanaoongea lugha straight kuliko ku-immitate rafudhi za makabila hayo?
 
kumbe kuigiza lugha za makabila ni kuyadharau?mi Thikujua kabithaaa
 
YES, una deliver message lakini na lazima iwe na FAN ndani yake...

Manka: mpelekee hiyo buku mkeo, hebu nipokee simu za maana......

kwetu mfaranyati pale-palee; nyumbi hi mbombi hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…