DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.