DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Siwezi kupoteza muda wangu kwa hilo dudeSerikali imulike hii kampuni,nimewahi sikia ukinunua laini zao unapewa wiki ya kuitumia bila usajli wakitumaini kuwa utaisajili,sasa matapeli wanatumia mwanya huo kutapeli watu,hii Ni tofauti na makampuni mengine ambapo ukinunua laini Ni lazima isajiliwe ndo uitumie
@ttcra wamulikeni kampuni hii ,tumechoka kupata jumbe za kitapeli
Wacha usukununu wewe hakuna kitu kama hichoSidhani kama wanawafunika Halotel
Kila namba ya utapeli ni halotel.
Wacha usukununu wewe hakuna kitu kama hicho
Ita vyovyote vile utakavyo lkn uwache usukununu wakoSawa mama nisamehe.
Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
Mtandao wa TTCL wote unatia shaka, kuanzia ununuzi wa vifaa vyao vya kielektroniki hadi utendaji kwa ujumla ukilinganisha na mitandao mingine... Kuna walakini!.Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
Bila shaka kwa kuwa ni shamba la bibi🤔.Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
Na Halotel,nako huo mtandao wanautumia sanaInawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
Baada ya wewe kusikia hivyo ulifanya utafiti kujua ukweli wake?Serikali imulike hii kampuni,nimewahi sikia ukinunua laini zao unapewa wiki ya kuitumia bila usajli wakitumaini kuwa utaisajili,sasa matapeli wanatumia mwanya huo kutapeli watu,hii Ni tofauti na makampuni mengine ambapo ukinunua laini Ni lazima isajiliwe ndo uitumie
TCRA wamulikeni kampuni hii ,tumechoka kupata jumbe za kitapeli
Mitandao yote inatumika, sema mwandishi wa mada hii yawezekana alitumiwa kwa mtandao wa TTCL au ana jambo lake nyuma ya pazia.Sidhani kama wanawafunika Halotel
Kila namba ya utapeli ni halotel.