Kwanini mate yatoke mdomoni usiku?

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Hii tabia mwanzo sikuanayo! Imeanza kama miezi 7 ilopita. Yani naamka usingizini nakuta mate yamejaa mdomoni, na mbaya zaidi sikuhizi yameanza kutiririka kidogo niwapo usingizini. Why? Why? Kwanini? Nisaidieni maana nilimuona mtu mmoja akaniambia eti ni minyoo; ila pamoja na kutumia dozi moja sikupona!!
 
huwa unasafisha kimya chako kabla hujalala.
 
Kutokwa na udenda wakati umelala kunasababishwa na joto lilipo ndani ya mfuko wa kusagia chakula tumboni (Stomach) Dawa yake kila siku asubuhi na usiku tumia dawa hii Tangawizi husaidia kuondosha ute wa mdomo. chemsha kiasi cha tangawizi kwenye maji unywe glasi moja asubuhi na usiku kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa unipe Feedbacl.@MARCKO
 

Aksante
 
Kuna mambo kadhaa ya kufanya rafiki yangu:
1. Punguza uzito maana ni dalili ya kuongezeka kwa uzito wa mwili.
2.Punguza pombe kama unapiga kwani huwa inalegeza mfumo mzima wa fahamu.
3.Safisha kinywa kabla ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…