Kwanini matusi dhidi ya Rais Magufuli hayakomi kwenye mtandao?


Kwahiyo umeamua kumuuza uyo jamaa? Kwanini umekua mnafiki? Toa hiyo picha.
 
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 
Nimekumbuka wale jamaa walio tengeneza sanamu ya Trump, tena akiwa mtupu na wakaiweka kwenye moja ya bustani katikati ya mji.
Hivi......
Wale jamaa walichukuliwa hatua gani baada ya kufanya tukio lile?
Alafu......
Ile maneno Inge fanyika hapa Tanganyika, nini kingetokea?

Najaribu tu kuwaza kwa sauti
 
Hao mmojammoja ndiyo unalikuza namna hiyo?. Hawezi kupendwa na watu wote. Hata Mfalme Daudi aliwahi kutukanwa na askari wake akataka ampige panga yule mtukanaji...Daudi akamwambia mwache anitukane, kama Mungu asingeruhusu nisingetukanwa. Matusi pia hujenga na kumkumbusha mtawala atawale kwa tahadhali maana kuna wabaya wake pia
 
kama mnapenda kuiga kila kitu kinachofanywa marekani mbona ushoga hamuutakii?
 
Matusi hayajaanzia kwa Mh. Magufuli, kumbuka Mh. Kikwete alivyoitwa majina ya ajabu mitandaoni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 3 full names..
Cant imagine jail registration
 
Auxiliary witness[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji75] [emoji125] [emoji125]
 
akiachia tu ajira....kelele za mitandaoni zitakoma...."my take"
 
Duh! Pole kwa kufanya kitu kama hicho mana yawezekana umejkuta tu umepost unknowingly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…