HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
Kesi nyingi zinazohusisha serikali na watu binafsi mara nyingi serikali hua inashindwa, rejea kesi ya Abdul Nondo na nyinginezo. Ya Max Mello nlikua nasoma nukuu ya wakili wa Max akimuhoji mleta mashtaka majibu yake yalikua 0 kabisa , hivi hawa mawakili hua wanajua wanachokifanya au huenda kutimiza wajibu tu wa mwajiri wao hata kama wanajua hawachomoi?? Je serikali inaweza kutumia mawakili binafsi?? Maana hawa naona waiingiza serikali hasara kila siku, kwanini hua wanafeli sana??