Kwanini Mawakili wa Jamuhuri wanashindwa kesi nyingi?

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,554
Kesi nyingi zinazohusisha serikali na watu binafsi mara nyingi serikali hua inashindwa, rejea kesi ya Abdul Nondo na nyinginezo. Ya Max Mello nlikua nasoma nukuu ya wakili wa Max akimuhoji mleta mashtaka majibu yake yalikua 0 kabisa , hivi hawa mawakili hua wanajua wanachokifanya au huenda kutimiza wajibu tu wa mwajiri wao hata kama wanajua hawachomoi?? Je serikali inaweza kutumia mawakili binafsi?? Maana hawa naona waiingiza serikali hasara kila siku, kwanini hua wanafeli sana??
 
Mimi sio mwanasheria ila naamin hao jamaa naeza kuwashinda bila hata wakili[emoji23]

Kwanini usiwashinde .... Wao hushinda kwa kulazimisha sio kisheria hapana. Wanashindishwa kimkakati tu bila wedi wowote. Ni lazima uwashinde Jaji/hakimu akifuata haki na matakwa ya sheria

Wanaweza kuja kupinga bila aibu kwamba CHADEMA sio chama halali cha siasa Tanzania.

Wanaweza kuja na kusema jua huchomoza kaskazin sio mashariki


In fact tuwahurumie wanatia aibu sana
 
Wanatutia hasara sana hao jamaa
 
Wanakuwa washapewa mpunga mrefu na hao watu wanaosbindana na serkal
 
Kesi nyingi za serikali zinafail kwasababu ya polisi , kwani msingi wa kesi nyingi upo polisi lakini hawa jamaa huwa huwa legal issues nyingi hawazijui ni wajuaji tu wakifika mahakamani wakikutana na wale wazee wa suti huwa wanaishia kupaniki kubwabwaja nakuomba wafute maelezo.
 
Kesi nyingi wanatumwa na wanasiasa.
Mfano kesi ya kina Kangi ilipigwa nole prosequi fasta kwakuwani upande wao.

Kesi mbowe kummua akwilina,_
 
State Attorney ni vilaza wa Mwisho.
Washinde washindwe wanakula mdhahara,hela za nyumba,safar,overtime na pia wanakula hela kwenye kuharibu kesi,mfano kesi ya mauaji wnataka mil 5,Ubakaji mil 2, na nyinginr milioni 1
 
State Attorney ni vilaza wa Mwisho.
Washinde washindwe wanakula mdhahara,hela za nyumba,safar,overtime na pia wanakula hela kwenye kuharibu kesi,mfano kesi ya mauaji wnataka mil 5,Ubakaji mil 2, na nyinginr milioni 1
Duuh aisee kwahiyo kesi kwao ni source of income
 
Hivi anaefungua mashtaka ni polisi au nani??? Je waendesha mashtaka wanapewa tu mtu tayari alieshtakiwa bila kujua mazingira ya kesi au???
 
Mfano ile kesi ya nondo, shida ni polisi au mwendesha mashtaka, na je kwanin hata kama wanaona kesi 100% watashindwa kwanin hua wanaendelea nazo mpaka mwisho??
 
Mina cute hii avator ni picha yako halisi kama mimi ama ni zile za kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…