Kwanini Mbowe asikimbilie hata CHAUMA au UDP kama wanachama hawamtaki

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
 
Subiria Wajumbe ndio wenye maamuzi!
 
Akimbie vinyago alivyofuga kwenye nyumba yake?
 
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
Subiri uchaguzi acha ramli
 
Wajumbe wapo 1200 wanachama tuko angalau milioni 3...wepi wanatakiwa wasikilizwe hapo kwa faida ya chama?!.

Kumbuka, wajumbe ni wachache so wanahongeka kirahisi tofauti na mamilioni ya wanachama.
Ni kweli kabisa mkuu
 
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
Atakuwa hana akili akiikimbia taasisi yake.
 
Back
Top Bottom