green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Subiria Wajumbe ndio wenye maamuzi!Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
Akimbie vinyago alivyofuga kwenye nyumba yake?Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
Kwahiyo hii ni taasisi ya familia. Taratibu anajipangia yeyeAkimbie vinyago alivyofuga kwenye nyumba yake?
Ndio ni taasisi ya familia,Mbona Lisu anasaidiwa na mkabila mwenzie wa Kijijini kwao?Kwahiyo hii ni taasisi ya familia. Taratibu anajipangia yeye
Anaachiaje chama cha ukoo wa baba mkwe? Hata ingekuwa mimi nisingetoka kirahisi.Kwahiyo hii ni taasisi ya familia. Taratibu anajipangia yeye
Kama ni taasisi ya familia basi inabidi ifutiwe usajili kama cha siasaNdio ni taasisi ya familia,Mbona Lisu anasaidiwa na mkabila mwenzie wa Kijijini kwao?
Subiri uchaguzi acha ramliBaada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon
Haifutwi ndio maana kukaribisha vinyagoKama ni taasisi ya familia basi inabidi ifutiwe usajili kama cha siasa
Wajumbe wapo 1200 wanachama tuko angalau milioni 3...wepi wanatakiwa wasikilizwe hapo kwa faida ya chama?!.Subiria Wajumbe ndio wenye maamuzi!
Alafu anajifanya anatetea Demokrasia 😂 si utapeli huuAnaachiaje chama cha ukoo wa baba mkwe? Hata ingekuwa mimi nisingetoka kirahisi.
Ni kweli kabisa mkuuWajumbe wapo 1200 wanachama tuko angalau milioni 3...wepi wanatakiwa wasikilizwe hapo kwa faida ya chama?!.
Kumbuka, wajumbe ni wachache so wanahongeka kirahisi tofauti na mamilioni ya wanachama.
Atakuwa hana akili akiikimbia taasisi yake.Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza nyumba ya ukoo ata tawala Nchi kiukoo kama akina Theodoro Nguema Mbasogo wa Guinea au Ally Bongo wa Gabon