Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona.

Tulipocheza nao tulifungwa magoli hayo hayo, ina maana Machambuzi wa video hakushairi au ushauri wake kupuuziwa? Tulipocheza mechi ya marudiano na jwanang ya Botswana tulifungwa magoli hayohayo na benchi la ufundi kuvunjwa lakini yeye akabaki. Kabla ya mechi na Yanga washabiki tulipiga kelele kuhusu madhaifu ya Simba viongozi wakakaa kimya matokeo yake tulifungwa goli za aibu benchi likavunjwa Ila yeye akabaki.

Cha kujiuliza kama kocha wa viungo alifukuzwa yeye kwanini aachwe au kuna kitu ambacho sisi hatukioni?
 
Back
Top Bottom