USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kama mnatoa ruzuku kule Baraza la Michezo la Taifa BMT na wizara ya michezo inapata pesa za kuendesha timu za taifa iweje watanzania walipie kuona matches za timu yao ya taifa .
Kama mnalipia hadi bao la goli za vilabu inakuwaje matches za timu ya taifa hakuna na tulipie kuona na kutaka kuona uzalendo wetu kwa timu .
Mnatuuzia uzalendo?
Soma Pia: AFCON 2025 Qualification | Tanzania Vs Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024