Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23.
Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano yanafadhiriwa pakubwa na nchi za Ulaya na kupotosha kuwa hao jamaa ni waasi ikiwa serikali kuu ndio imekiuka sheria za mikataba.
Juzi juzi hapa huko Goma yamefanyika maandamano ya amani na usafi na hao hao M23 wameonesha ushiriki wao kwa 100% na kuruhusu raia kuendelea na kazi zao.
Soma: Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23
JE HAWA NI WAASI?
KWANINI WAUNGWE MKONO NA RAIA??