Kwanini mfungaji goli ndiye anayevuma zaidi kwenye mpira wa miguu?

Kwanini mfungaji goli ndiye anayevuma zaidi kwenye mpira wa miguu?

chameleon

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
555
Reaction score
170
Wanajanvi naomba ku- declare interest mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu. Kwa leo naomba niulize kwenu swali ambalo mimi binafsi sipati jibu.

Ni kwanini mchezaji wa mbele (forwardman) ni aghali sana na tena hushangiliwa zaidi na washabiki wa mpira huo kuliko wachezaji wengine?

Kama tumeamua kubagua kwa umuhimu wa matokeo mbona kipa ana mchango zaidi lakini havumi?

Ona mfano wa matokeo kati ya Jforum team dhidi ya Fbook team yachunguze then ujibu tafadhali.

Mech 1. Jf 0 by Fb 0, Mech 2. Jb 1 by Fb 2, . Mech 3. Jb 3 by Fb 3
 
Radha ya mpira ni magori....mtoa mada jibu masala aya...kwa nini akikosa goli la wazi anazomewa,kupigwa hata kuuawa? Kwa nini wasishambuliwe wachezaji wote?
 
Umesahau kuwa timu yenye kufunga ndio yenye kushinda...

Hivyo wenye kufunga hupewa heshima ya ziada...
 
Radha ya mpira ni magori....mtoa mada jibu masala aya...kwa nini akikosa goli la wazi anazomewa,kupigwa hata kuuawa? Kwa nini wasishambuliwe wachezaji wote?
Usikimbilie kujibu kama hujaelewa swali vizuri, pia mtoa mada amekuambia uzingatie matokeo ya mechi zote tatu
Ni kweli ladha ya mpira ipo ktk magoli lakini goli la kufunga halina ladha kama (kipa) timu yenu imefungwa bao pia.
 
raha ya mechi bao
NB: TAFSIRI UNAVYOWEZA
 
Radha ya mpira ni magori....mtoa mada jibu masala aya...kwa nini akikosa goli la wazi anazomewa,kupigwa hata kuuawa? Kwa nini wasishambuliwe wachezaji wote?

Magori = Magoli
 
Umesahau kuwa timu yenye kufunga ndio yenye kushinda...

Hivyo wenye kufunga hupewa heshima ya ziada...

Umesahau mwaka 2006 zizzou alivuma zaidi ya miroslav klose ambaye alifunga goli 5 na kuwa mfungaji bora?zidane alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano
 
Back
Top Bottom