Wanajanvi naomba ku- declare interest mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu. Kwa leo naomba niulize kwenu swali ambalo mimi binafsi sipati jibu.
Ni kwanini mchezaji wa mbele (forwardman) ni aghali sana na tena hushangiliwa zaidi na washabiki wa mpira huo kuliko wachezaji wengine?
Kama tumeamua kubagua kwa umuhimu wa matokeo mbona kipa ana mchango zaidi lakini havumi?
Ona mfano wa matokeo kati ya Jforum team dhidi ya Fbook team yachunguze then ujibu tafadhali.
Mech 1. Jf 0 by Fb 0, Mech 2. Jb 1 by Fb 2, . Mech 3. Jb 3 by Fb 3