Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Hivi kuna anayejua kwa nini mgeni akifika TANGANYIKA haruhusiwi kulipa Visa kwa kutumia Credit card ni hadi awe na hela Cash? Hii hulazimu wageni wasio na Visa wajazane kiwanjani wakipanga foleni kwenye ATM kupata hela cash kwa ajili ya kulipia Visa.
Nimeandika TANGANYIKA kwa kuwa, kwa upande wa ZANZIBAR walishajiunga na Dunia kwa kuweka mfumo rafiki kwa wageni wa kupokea malipo ambao unaruhusu (Credit card, Cash, n.k).
Kama tatizo ni kupunguza/kuepuka wizi nafikiri zipo njia nyingine rafiki za kulianganlia hili.