Kwanini mgonjwa akikaa katika upright position upata unafuu

Kwanini mgonjwa akikaa katika upright position upata unafuu

jafari mwijae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
181
Reaction score
39
habarini wana jf kwanini mgonjwa mfano wenye magonjwa ya moyo au pumu wakikaa upata ahueni kuliko wakilala?
 
vilevile hata mtu wa kawaida inasemekana akilala anapata shida ya upumuaji msaada wana jf kujua pasofizolojia
 
Unapokuwa kwenye semi sitting au upright position inasaidia upumuaji kwa sababu moja tu kubwa ambayo ni kwamba Misuli ya upumuaji (Diaphragm) inayo tenganisha katikati ya kifua na tumbo inafanya kazi kwa urahisi katika kusukuma na kutanua mapafu. Hii inatokana na gravity na uzito wa mapafu kwahiyo effort inayotumika kutanua mapafu iki kupumua pia inakuwa kidogo.
 
Kukaa upright inasaidia mgonjwa kwanza a bedridden patient kutopata bedsores(vidonda kwa mgongo ama ile pande amezoea kulalia)..the best option kwa a patient in icu mwenye ako unconcious ni kumpindua pindua
 
unaweza kufafanua zaidi ukuhusianisha na mfumo wa upumuaji tofauti na decubitus(pressure sores)
 
Back
Top Bottom