Unapokuwa kwenye semi sitting au upright position inasaidia upumuaji kwa sababu moja tu kubwa ambayo ni kwamba Misuli ya upumuaji (Diaphragm) inayo tenganisha katikati ya kifua na tumbo inafanya kazi kwa urahisi katika kusukuma na kutanua mapafu. Hii inatokana na gravity na uzito wa mapafu kwahiyo effort inayotumika kutanua mapafu iki kupumua pia inakuwa kidogo.